HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

17 June 2013

JK NDANI YA SUNDERLANDFC :SAFC KUJENGA SHULE YA SOKA DSM

Ellis Short and President of Tanzania
RAIS KIKWETE AKIONGEA NA BBC SWAHILI Timu ya soka ya Sunderland AFC imeongeza juhudi zake katika kuinua soka katika bara la afrika kwa kujikita zaidi na kusaini makubaliano ya kuiua soka kwa kuungana na Tanzania .Katika makubalino hayo klabu hiyo itakuwa inatuma wataalamu wake nchini kuja kutafuta na kutengeneza shule za soka nchini Tanzania, ambapo itakuwa  inawekeza kwa msaada wa kampuni kubwa ya kuzalisha umeme ya  Symbion Power.Klabu itakuwa ikitoa mafunzo ya kiufundi kwa njia ya vitendo kwa ajiri ya kusaidia maendeleo ya soka Tanzania  .Mradi huyo utasaidia maelfu ya Vijana kujifunza soka na mambo mengineyo ya kimaisha yahusuyo soka na jamii kwa ujumla .
Tanzania visit 

Katika hatua ya kwanza klabu hiyo itajenga shuke ya soka katika jiji la Dar es Salaam, ikifuatiwa na hatua ya pili , ya kutengeneza mahitaji ya shule ,kwa kuunga mkono  Tanzania katika maendeleo ya Vijana .
 Tanzania visit


kwa kufungua kampeni hiyo , Sunderland AFC ilimkaribisha Mh Dr Rais wa Jmahuri ya Muungano Wa Tanzania ,  Jakaya Mrisho Kikwete, na  Paul Hinks, CEO wa  Symbion Power.


Viongozi hao walikutana na Viongozi ,na  Mwenyekiti wa  SAFC  Ellis Short na  CEO Margaret Byrne, walifanya ziara katika uwanja wa  Sunderland’s uwanja unachukua  watazamaji Elfu Arobaini na Tisa , Maarufu kama uwanja wa mwangaza ,.
Tanzania visit 

Awali wakati walipofanya ziara nchini Tanzania viongozi wa SAF walikutana na viongozi wa  klabu ya soka ya simba ya jiji Dar E salaam .


Paul Hinks, ambaye ni  CEO wa  Symbion Power amesema : "Nimekuwa nikifanya kazi na Tanzania Tangu mwaka 1982 na Leo  Symbion Power  ni moja kati ya kampuni kubwa ya uwekezaji marekani na ni kampuni Binafsi .“Kama tulivyo fanya hapa UK na Nchi nyingine za ulaya, Tanzania ni nchi iliyobarikiwa katika vipaji vya soka . japokuwa kuna upungufu wa vifaa vya mazozei . Ushirikiano huu wa Symbion na Sunderland unadhumuni la kutoa kipaumbele katika soka na kuongeza ufanisi katika soka la vijana na kuwatengenezea nafasi katika soka la ulaya siku za usoni .
Tanzania visit


“Sunderland' inajitoa kwa Africa  katika kuendeleza soka  .Mashabiki wa klabu kubwa wanafuraha sana na mimi najivunia kuwa na mashabiki wa aina hiyo  ."


: “Tunayofuraha kubwa kuwaalika waTanzania katika klabu ya  Sunderland ,katika kuleta mahusiano makubwa na klabu yetu katika bara la afrika .Klabu hiyo pia inashikirikiana Nlseon Mandela Foundation kataika kuleta maendeo la kisoka

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers