HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

9 July 2014

BRAZIL TEPE TEPE YAPIGWA1- 7 RONALDO ASHINDWA KUTANGAZA MPIRA KIWANJANI.

 Germany's Miroslav Klose scores

Brazil Brazil Brazil   weneyeji wa michuano ya Kombe la Dunia hawatasahau siku ambayo ukuta wa Berlin ulipowaangukia ndani ya uwanja wao wa Nyumbani wa Belo Horizonte.   mara baada ya kupata kipigo cha Mbwa Mwizi kutoka timu ya soka ya taifa ya ujerumani kwenye mchezo wa nusu fainali na kuweka historia Mpya katika michuano ya Kombe la Dunia mara baada ya kukandamizwa mabao Saba kwa moja .
  
Germany celebrate after beating Brazil 7-1
Magoli matano ya Ujerumani yalifungwa katika kipindi cha kwanza 
Thomas Muller alifunga goli kwa volleyed Kabla ya  Miroslav Klose kufunga goli moja na kuwa mchezaji anayeoongoza kwa kufunga magoli mengi katika historia ya Kombe la Dunia akiwa amefunga magoli 16.
Toni Kroos alifunga bao la tatu na la pili katika mchezo kabla ya  Sami Khedira kufunga bao la tano 5-0 katika  12 yards.
Andre Schurrle alifunga magoli mengine mawili katika kipindi cha pili na katika dakika za mwisho  Oscar's alifunga goli la kufuatia machozi . 

 
Hii imekuwa mara ya kwanza kwa Brazil kufungwa nyumbani kwa miaka 12 . Kufungwa kwa Brazil katika michuano kuna weza kutengeneza upya mfumo wa mpira wa miguu katika taifa hilo .

Takwimu zinaonyesha kuwa hii imekuwa ni mechi yakwanza kwa timu kubwa kufungwa magoli mengi katika kombe la Dunia Mara ya mwisho ilitokea mwaka 1954 pale Ujerumani Magharibi  iliifunga  Austria 6-1.
  Ujerumani sasa itapambana na mshindi katia ya uholanzi Dhidi Argentina au Netherlands -ambao wanacheza leo jumatano

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers