HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

20 June 2013

MABONDIA WA TANZANIA WAFUNGWA MIAKA KUMI TANO Mauritius KWA KUJIHUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA

Jailed Tanzanian boxers 


 
KDHIA KUBWA TANZANIA MAMBONDIA WAKILI KUBEBA MIHADARATI 
 
Mabondia wa nne wa tanzania wamefungwa jela Miaka 15 nchini Mauritius baada ya kupatikana na hatia ya kujihusha na madawa ya kulevya .
Mabondia hao waliieleza mahamaka kuwa walipereka madawa hayo kwakuwa walihitaji pesa za kusaidia familia zao
Mabondia hao walikuwa katika visiwani hivyo kupigana katika ngumi za ridhaa na walikamatwa mwaka  2008.

Hakimu amesema kwa kipindi ambacho wamekaa Mahabusu  watatumikia gerezani kwa miaka kumi na tano
Mabondia hao ni ' Ramadhani Fills, Nathanael Elia Charles, Ally Rajabu Msengwa na  Petro Charles Mtagwa walikuwa wakionekana kama mabondia wanaochipukia na walikamatwa mwaka  2008  Mwezi June  katika jiji la Quatre Bornes, zikiwa ni  15km (Maili tisa ) Kutoka , Port Louis,

Walinukiliwa wakisema 

sisi ni maskini na  tunamajukumu ya kifamilia;Watoto na wazee wanatutegemea  ”
Mambondia hao walikwenda kushikiriki michuano ya ubingwa afrika moja kati ya mashindano makubwa katika bara la afrika kwenye ngumi za ridhaa .
ambapo inasadikiwa kuwa walibeba mizigo yenye kilo  4kg (8lb 8oz) za  heroin,.
Tunaomba radhi kwa wanachi wa Mauritian ,"Mmoja  kati mabondia hao alisema,kabla hawajaperekwa jela
"kama tungefanikiwa tungelipwa  Dollar 4,000 euros ($5,200; £3,400)."
.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers