HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

6 June 2013

MUSONYE CECAFA IKO PALE PALE SIKILIZA MAHOJIANO NA JONH NENE WA BBC

 
Timu ya soka ya Tusker ya kenya imejiondoa katika michuano ya vilabu bingwa afrika mashariki na kati CECAFA kwa Kile ambacho kimekuwa kikisemwa kwa juma zima hili la usalama wa Sudan  Kusini  katika jimbo la Darful kwani tayari za   Al Hilal, Al Merreikh ya Sudan zimekwshia jitoa lakii katibu mkuu wa CECAFA Nicholaus Musonye     
anaamini kuwa klabu za Tanzania simba na yanga zitashirki lakini jambo la kushangaza zaidi katibu huyu wa CECAFA ni raia wa kenya  ambapo  timu yake nyumbani ndio iliyojitoa Mwandishi wa Idhaa ya kiswahili ya BBCJonh Nene amezungumza naye jijini Nairobi. 
Mwandishi huyo wa BBCswahili alizungumza na kocha wa Kenya james Nandwa kuhusu hatma ya Harambe stars kushiriki michuano ya kombe la dunia mwakani nchini Brazil


 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers