HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

6 June 2013

Arsene Wenger AWAKUNA MABOSI ARSENAL ANATAKA KUONGEZA MKATABA TENA !

Mtendaji mkuu wa  klabu ya Arsenal  Ivan Gazidis amethibitisha kuwa kocha wa klabu hiyo Arsene Wenger anataka  kuongeza kandarasi nyingine ya kuinoa klabu hiyo baada ya msimu ujao .
Wenger's ambaye kandarasi yake ya sasa inaisha mwakani na amaekuwa akitakiwa na klabu kubwa ,moja kati ya vilabu ni  cha nyumbani kwao ufaransa  ,ambapo  Paris St Germain na klabu yake ya zamani ya  Monaco huku zikiwa na wawekezaji  na matajiri kutoka nje ya ufaransa  .

kulikuwa kuna hari ya kutokuelewa kwa mashabiki wa klabu hiyo msimu uliopita kuwa mfaransa huyo mwenye miaka  63- na inaweza kuwa moja ya changamoto kwani atakuwa amekaa kwa miaka kumi nane klabuni hapo ,lakini mtendaji mkuu wa arsenal anatarajia kuwa kocha huyo atasalia klabuni hapo .

Sign him up! Gazidis wants the French boss to extend his deal with Arsenal beyond next summer
 
'Tunadhani tumepata kocha bora zaidi,' anasema  Gazidis. 'Tuna matumaini anataka kufanya yale ambayo amefanya kwa kipindi kirefu . Na naamini anataka hivyo . na nadhani anahitaji hayo moyoni mwake , na analiendesha jahazi na unaweza kuona kuwa timu iko imara kwa sasa na anaitazamia kwenda mbele zaidi na analifuraia hilo .
'Tuna mahusiano mazuri na makubwa na ana mahusiano makubwa na bodi .kwa hiyo  , kwa ufupi  na katika muda sahihi  tutalitangaza jambo hili pindi litakapukuwa tayari .
'Tumepata imani sana na kujiamini kwa  Arsene  na huyo ni mtu pekee ambaye anaweza kuipereka klabu mbele na tunaamini atataka kufanya hivyo . Na hili litafanyika kimya kimya  na litakuwa ndani ya klabu yetu na likimalizika tutalitangaza .' 
Wenger alijiunga na  Gunners October 1996, na ameshinda mataji katika misimu kadha na kushiriki fainali ligi ya ulaya   lakini hajashinda taji lolote tangu Arsenal iliposhinda  FA Cup mwaka  2005.
'Hii ni klabu ambayo imedumu na kocha kwa muda mrefu ,katika falsafa ya soka   na kuungwa mkono na mashabiki na tuna utaratibu wetu wa kuishi na makocha  Gazidis.
'na kuna mengi ambayo haya elezeki , japokuwa tumepitia katika mambo magumu lakini kwa sasa hata wachezaji wamekuwa wakionyesha nia ya kuendelea kuwa hapa , Arsenal itakuwa moja ya klabu zinazovutia wachezaji  kuja kucheza .'
 Gunners imemaliza ya nne msimu huu ,huku ikiwa na  alama  17 nyuma ya mabingwa Manchester United. lakini waliawahi kutolewa nishai na timu za ligi ya daraja la kwanza za  Bradford na  Blackburn katika mashindano ya ngazi ya taifa na kufungwa kwa sheria ya goli la ugenini dhidi ya Mabingwa wa ulaya  Bayern Munich katika ligi ya mabingwa ulaya .
na  kumekuwa na hari ya tofauti kwa baadhi mashabiki wa aresnal kuwa wakati umefika wa kubadili timu .
'Tunataka  kushindana katika kiwango kikubwa na ili kufanya hilo inabidi kushiriki klabu bingwa ulaya ,' anasema  Gazidis. 'kwa maana hiyo tunafarijika kuona tumefuzu kwa ajiri ya klabu bingwa ulaya na tutacheza mechi za kufuzu .na bado hatujafika pale tunapotaka
Champions League regulars: Arsenal finished fourth at Spurs' expense to qualify for Europe's top competition
Champions League regulars: Arsenal finished fourth at Spurs' expense to qualify for Europe's top competition
Non-mover: Wenger has been at the helm at the north London club since 1996

Non-mover: Wenger has been at the helm at the north London club since 1996
'.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers