HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

11 June 2013

SERIKALI YA BURUNDI YARIDHIA VITAL'O FC KWENDA DARFUL NA CORDOFAN


Serikali ya Burundi  imeridhia timu ya soka ya Vitalo kushiriki michunao ya klabu bingwa afrika mashariki baada ya kutokea matishio ya kutokuwa na usalama katika nchi hiyo ya sudan Kusini hasa katika maeneo ya Darful na Cordofan 
Mwandishi wa Idhaa ya kiswahili ya BBC kutoka Burundi   amezungumza na kiongozi wa timu ya vilat'o

SIKIZA HAPATimu za Tanzania bado haijafahamika kama  zitashirki mara baada ya shirikisho la soka la Tanzania Tff kumaliza  mazungumzo na serikali . 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers