HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

16 June 2013

TUMEKUFA KIUME TEMBO AFUZU HATUA YA MTOANO 4-2 Gervinho KATUMALIZA


0056
Fullshangwe picture

 Mbwana Samata akimtoka beki wa ivory kwenye mchezo wa kufuzu fainali za kombe la dunia mchezo huo umechezea leo hii saa tisa alasiri 

Mchezaji wa timu ya soka ya taifa ya Côte D’Ivoire  Yaya Touré, amefunga magoli mawili katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika Nchini Brazil na kufuzu hatua ya Mtoano kwa ushindi wa mabao Manne 4-2 Dhidi ya  Tanzania mchezo uliochezwa katika uwanja wa taifa jijini Dar Es Salam.
http://1.bp.blogspot.com/-dBOicPeeGEY/Ub3U7bH9uyI/AAAAAAAEd1I/giwoLKUG7DQ/s1600/MMG20681.jpg
Taifa Stars haikuchukua  muda kupata goli la kuongoza  katika dakika ya kwanza ya mchezo ambapo  Amri  Kiemb aliipatia stars goli la kwanza goli ambalo halikudumu sana kwani katika dakika ya kumi na nne L’.Traole aliisawazishia timu ya Côte D’Ivoire na kuwa sawa kwa goli moja kwa moja   .
Yaya Touré alifunga goli jingine katika dakika ya  23’ na   35’(pen) huku  B. Wilfried akimpatia pasi Gervinho na kufunga katika dakika ya 90’.

http://4.bp.blogspot.com/-lFpy4zMa_aU/Ub3U6dUF8CI/AAAAAAAEd1A/fUPSqO44Mo8/s1600/MMG20658.jpg
Hii ina maana kuwa Tembo wanafuzu moja kwa moja katika hatua ya mtoano kutoka Kundi  C wakiwa na alama 13 baada ya Mechi tano walizo cheza huku nafasi ya pili na Tanzania ikiwa na pointi sita   Morocco  Tano wakisalia katika nafasi ya  huku Gambia wanashika mwisho wakiwa na alama moja

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers