HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

14 June 2013

Arsenal:YACHAGUA MWENYEKITI MPYA NI Sir Chips Keswick

Sir Chips Keswick


Klabu ya soka ya Arsenal imemchagua mwenyekiti mpya wa klabu hiyo   Sir Chips Keswick kama mwenyekiti mpya wa kabu hiyo ,Huku Peter Hill-Wood ambaye amestaafu kwa sababu za kiafya .
Hill-Wood, ambaye ana miaka 77,alipatwa na mshituko wa moyo mwezi december mwaka jana na kuachia ngazi baada ya kuitumikia bodi kwa miaka 51  
.
Amesema: "Ingawaje najiskia Vizuri nafikiri huu ndio wakati mzuri wa mimi kupumzika ."
Keswick, ambaye ana miaka  73, Amesema : "Nina furaha kupewa heshima kubwa kama hii,klabu ambayo inapendwa na mamilion ." 

Hill-Wood alikuwa Mwenyekiti Tangu mwaka  1982, ambaye babu yake naye alikuwa mwenyekiti wa bodi hiyo pamoja na baba yake, Sir Samuel, na baba yake  , Denis, ambao waliwahi kuwa wenyeviti wa klabu hiyo  1927.
Keswick,  Mkurugenzi wa Bank ya uingereza ,Amekuwa kwenye bodi ya Arsenal tangu  2005.
aliimbia tovuti hiyo  "Nina hudhuni kumuona  Peter akiachia ngazi   kwa sababu ya afya yake nina matumaini kuwa atakuwa sawa hivi karibuni .
"Familia ya  Hill-Wood imefanya mambo mengi katika klabu ya arsenal katika miongo mingi  . wamekuwa msaada mkubwa katika klabu yetu .
"Nina chukua nafasi hii kuingoza klabu hii katika mafanikio ."

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers