HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

26 July 2013

MIKEL OBI ATUPILIA MBALI KWENDA KWA MKOPO GALATASARAY

Mchezaji wa kimataifa wa timu ya soka ya taifa ya Nigeria Mikel Obi ametupilia mbali Offa ya Timu ya soka ya Galatasaray ya uturuki ambao ni mabingwa wa nchi hiyo kutaka  kujiunga na timu hiyo kwa mkopo  
.
Klabu hiyo ambayo ilitaka kumsajiri kwa mkopo wakati chelsea ilikuwa ikitaka mchezaji huyo imuuze kwa pauni milioni kumi na tano lakini klabu hiyo ya uturuki ilitaka kumsainisha kwa mkopo wa mwaka mmoja
Kwa mujibu wa mntfootball.com klabu hiyo iliisha kubaliana na mchezaji huyo makubaliano Binafsi lakini ilishindikana baada ya klabu hizo mbili kushindwa kukubaliana matakwa Binafsi 
.
“Kwa sasa wanataka kumchukua kwa mkopo na yeye alitaka wamchukue moja kwa moja taarifa zinasema kuwa wakala wake alifunga shughuli ya usajiri wa mchezaji huyo ambaye  alisaini Chelsea mwaka 2006 na bado ana miaka miinne kwenye kandarasi yake

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers