HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

29 July 2013

NI NGUMU KUMTABIRI WENGER ONA ANAYEMSAJIRI
Arsenal ipo karibu kabisa kumsainisha mchezaji na kiungo wa  Atletico Mineiro  Bernard.

moja ya mawakala wa  Bernard's , Giuliano Bertolucci, yupo  London kwa mazungumzo na  Arsenal kuhusu kinda hilo  ili ajiunge katika klabu hiyo ya  Emirates.
Atletico wametangaza kuwa wanatarajia kumuuuza Bernard, ambaye alikuwa akitazamwa kombe la klabu bingwa america ya kusini Copa Libertadores na moja ya skauti   wa Arsenal  Everton Gushiken. 

Mchezaji huyo  pia alikuwa akiwania na vilabu vingi, wakala huyo ni wakala pia wa  David Luiz na  Lucas Piazon waliosajiriwa katika klabu za  Chelsea and Tottenham

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers