HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

30 July 2013

£85million NA MCHEZAJI MMOJA BILA HIVYO BALE HAONDOKI :DANIEL LEVYMwenyekiti wa klabu ya soka ya Tottenha Daniel Levy ameweka Bei ya mchezaji wa timu hiyo Gareth Bale.

Gazeti la  Daily Mail limenukuliwa likisema kuwa  Levy atamuachia mchezaji huyo endapo real watatoa kiasi hicho cha pesa na Mchezaji mmoja Mfanyabiashara Raia  wa  Bahamas- Joe Lewis, ambaye ni moja ya wamiliki wa klubwa kwenye hisa za  Tottenham’s , atakuwa na nafasi ya kuzungumza endapo madrid watakuja na offa ya kimaandishi .
Levy, ambaye alirudi London toka Mahariki ya Mbali amezungumzia swala la  Bale’ na mustakbari wake na maafisa wa klabu hiyo  , na watakuwa makini zaidi kama Real wakija na pesa mfukoni  .
Anataka pesa na mchezaji mmoja ili kuweka Rekodi ya Dunia .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers