HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

26 July 2013

RADAMEL FALCAO ANA MIAKA 27AU 29 JIBU HILI HAPA!

Ule mdahalo kuhusu Umri wa mshambuliaji mpya wa Timu ya soka ya Monaco ya Ufaransa Radamel Falcao- Unazidi kuchukua Kurasa baada ya Taswira inayooneka kwenye Cheti cha Kuzaliwa ikiwa inanyesha ana miaka 27.

Mapema wiki kuliliripotiwa kuwa mchezaji huyo wa zamani wa  Atletico Madrid ana miaka  29 na Tarehe yake ya kuzaliwa ni 10  February 1984, baada ya Nyaraka kutoka Shule ya msingi kuonekana Hadharani. 

Japokuwa,Nyumbani kwao ameonekana kutetewa hasa na gazeti la, Colombian linalojulikana kama  El Tiempo lilichapisha Taswira ya Falcao’s iliyopo katika cheti cha kuzaliwa ikionesha amezaliwa  February 10 1986.
Pointing it out: Reports in Radamel Falcao's homeland of Colombia suggest he is older than his FIFA registration


Happy birthday: The document claims Falcao was born in 1984, not 1986 - putting the striker at 29

Young gun: The document was uncovered at one of Falcao's old primary schools
Paper trail: Colombian newspaper El Tiempo claim to have a copy of Falcao's 'actual' birth certificate, claiming that he is in fact 27, not 29
Ushahidi wa gazeti: Kuwa raia huyo wa Colombian katika gazeti la El Tiempo lilikiri kuwa kuwa mchezaji huyo ana miaka 27 na sio 29 
Kuoneshwa kwa kitambulisho inaweza kuwa kielelezo tosha cha kuuonesha ulimwengu kuwa mchezaji huyo mwenye thamani ya Yuro53 ni mwaminifu na anastahili kuendelea kuishi kwenye klabu hiyo .

Falcao alichapisha kwenye Anuani yake ya Twita kuhusu taarifa zilizozagaa kwenye kwenye vyombo vya habari kuwa siku ya   Jumatano hii, zikisema : ‘Nimeshangazwa kidogo kuona taarifa za mijadara kuhusu umri wangu . Ni upuuzi mtupu.
‘Nazikataa tuhuma hizi kuwa hazina ukweli wowote .’
Mchezaji huyo wa  Colombian amewahi kukutana na tuhuma kama hizo miaka ya nyuma .Wakati alipokuwa akichzea klabu ya Argentinian River Plate, aliwahi kutuhumiwa kuwa kurudisha miaka nyuma li acheze katika kombe la dunia mwaka 2005 chini ya miaka 20 ambapo alifunga mabao mawili.


 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers