HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

29 August 2013

FLAMINI NDANI YA ARSENAL TENA NI MIAKA MITATU

Mathieu Flamini 
Klabu ya Arsenal imethibitisha ya kuwa imemrejesha kiungo wake mkabaji  Mathieu Flamini .
Mchezaji huyo mwenye miaka 29-na raia wa ufaransa ambaye alicheza mechi  153 akiwa na Arsenal kutoka mwaka  2004  hadi  2008,amejiunga tena na klabu hiyo baada ya miaka mitano katika ligi ya  Serie A akiwa na  AC Milan.
Mchezaji huyu alikuwemo katika kikosi kilichocheza ligi ya Mabingwa Barani ulaya 2006 na alitoa mchango mkubwa mwaka 2205 katika ubingwa wa  FA .
, Flamini amecheza mara  122 akiwa na Rossoneri,ameshinda Serie A title na  Supercoppa Italiana mwaka  2011..
Flamini ameonyesha uwezo mkubwa alipofanya mazoezi katika  London Colney wakati huu wa kiangazi .
"Arsene amesema inayofuraha kumrejesha kiungo huyo wa zamani," Arsène Wenger "
Mathieu atavalia jezi namba 20 akiwa  Arsenal.
Kila mmoja anamkaribisha  Mathieu klabuni .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers