HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

29 August 2013

MAKUNDI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA HAYA HAPA RIBERY MFALME WA ULAYA !!!

Kiungo wa Bayern Munich Frank Rinery Amewashinda  Lionel Messi na  Cristiano Ronaldo katika kuwania tuzo ya uchezaji wa ulaya msimu huu .
Mchezaji huyo mwenye Miaka  30-alikuwa na mwaka mzuri zaidi baada ya kuzawadiwa zawadi hiyo katika jiji la  Monaco huko Monte Carlo.
Ribery alichaguliwa pia kuwa Mchezaji wa Bora wa  ujerumani baada ya kuiwezesha Bayern' kushinda  Bundesliga, DFB Pokal na Klabu Bingwa Ulaya mwaka 2012/13 na alipigiwa kura na waandishi wa habari 53 kutoka nchi mwanachama wa ulaya Uefa .

Wakati anapokea zawadi hiyo kutoka kwa rais wa Uefa  Michel Platini, Ribery amesema , Ni wakati muhimu kusimama hapa na kupokea zawadi hii Jioni ya Leo . Nawashukuru wachezaji wenzangu na familia yangu.”

Anakuwa mchezahi wa nne wa  Bayern  kutwaa tuzo hiyo akifuata nyayo  Gerd Muller, Franz Beckenbauer na  Karl-Heniz Rummenigge.

Ribery atapa muda mdogo kusherekea tuzo hiyo kwani ana kibarua kesho jioni kwani anatakiwa kusafiri kwenda  Prague, ambapo timu yake ya  Bayern itakwaana na  Chelsea Katika mchezo wa  Super Cup .
 
 
 
GROUP A


Man Utd
Shakhtar Donetsk
Bayer Leverkusen
 Real Sociedad
 
GROUP B


Real Madrid
Juventus
Galatasaray
FC Copenhagen
 
GROUP C


Benfica
Paris Saint-Germain
Olympiakos
Anderlecht
 
GROUP D


Bayern Munich
 CSKA Moscow
 Manchester City
Viktoria Plzen
 
GROUP E


Chelsea
 Schalke
 Basel
Steaua Bucharest
 
GROUP F


Arsenal
Olympique de Marseille
 Borussia Dortmund
Napoli
 
GROUP G


Porto
 Atletico Madrid
Zenit St Petersburg
Austria Wien
GROUP H


Barcelona
AC Milan
Ajax
Celtic

 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers