HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

10 August 2013

Muricy Ramalho :INATUHARIBIA NERMAY WETU


Kocha wa zamani wa  Santos  Muricy Ramalho amesikitishwa na kitendo cha  Barcelona kwa kutaka kufanya maboresho  aina ya chakula kwa mchezaji wao mpya  Neymar.

Barca wanamuweka  Neymar katika utaratibu wa kumpangia aina ya chakula ilikumfanya awe na uzito .
"Kama wakimuwekea Neymar uzito,wataondoa mambo yote yale ya ubora ambayo anayo mchezaji huyo anasema ," Ramalho akikiambia chombo cha  Jovem Pam.
"wataondoa kasi yake. wakiwa na wachezaji wenye umbo dogo kama Xavi, [Andres] Iniesta na  [Lionel] Messi katika   Barca, nashangaa kwanini wanataka kufanya hayo.
"Kama watafanya hivyo watamuongezea majeruhi hasa ya goti  ,kama ilivyotokea kwa  Ronaldo. ni Biashara mbaya ."

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers