HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

20 March 2014

ROBIN VAN PERSIE 3-OLIMPIACOS 0 UTD YATINGA ROBO FAINALI

Robin van Persie and Wayne Rooney

Manchester United imefuzu hatua ya Robo fainali mara baada ya kuitandika  Olympiakos mabao matatu kwa sifuri katika uwanja wa  Old Trafford. 

Robin van Persie alifunga penati baada ya kufanyiwa na aliipiga mwenyewe na kusawazisha bao la kwanza .
Mholanzi huyo alifunga la pili na  la tatu kwa faulo na kuipeleka Man u robo fainali . 

Olympiakos walimjaribu mara kadhaa  David De Gea's lakini alionyesha ushujaa mara baada ya kukoa michomo Kadhaa golini.
mechi ya kwanza united ilifungwa mbili sifuri
 
Sebastian Kehl scores for Borussia Dortmund 
 
Borussia Dortmund nayo imetinga hatua ya Robo fainali mara baada ya kufungwa mabao mawili kwa moja na  Zenit St Petersburg katika mechi ya pili . 

  Dortmund 4-2 wanapita kwa jumla ya magoli manne kwa mawili huku   Hulk akiachia mkwaju mkali wa mita ishirini na kutinga wavuni . 

Sebastian Kehl alirejesha matumaini ya Dortmund kusonga mbele mara baada kufunga kwa kichwa kabla ya mapumziko 
Mshabuliaji wa Venezuela  Jose Rondon's alifunga Goli katika  dakika ya 73rd-kwa kichwa na kuwavusha wajerumani hao katika hatua ya Robo fainali ambapo sasa watakuwa wakisubiri nani atacheza nae katika ratiba itakayopangwa ijumaa.
 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers