HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

6 April 2014

ARSENAL TEPE TEPE LIVER HIYOOOOOOOOOOO


 

Kocha wa Arsenal   Wenger anasema kuwa timu yake inahitahi mtizamo tofauti Baada ya Kulambwa Bao tatu sifuri 3-0 Katika ligi ya Premier League na kufifisha  Matumaini  ya Arsenal kutwaa ubingwa na kuhatarisha hata ushiriki wa ligi ya mabingwa ulaya Everton.
Mfaransa huyo anasema washika bunduki hao wanatakiwa  Kurejea katika misingi yao baada ya kuruhusu magaori kutoka kwa Steven Naismith, Romelu Lukaku na Goli la kujifunga kutoka kwa  Mikel Arteta na kuwapa  Toffees ushindi rahisi.
Arsenal sasa wanashirikia alama moja tu katika kuwani nafasi ya kufuzu ligi ya mabingwa ulaya huku Everton  wakiwa na Mechi moja mkononi , .3-0

Liverpool's Jon Flanagan (left) and West Ham goalkeeper Adrian
Steven Gerrard amefunga  penalti mbili huku  Liverpool ikirejea katika uongozi wa huku wakiwa wamepata ushindi katika dimba la Upton Park  .
Nahodha wa Klabu hiyo alifunga goli baada ya James Tomkins kuunawa mpira  .
Lakini  Guy Demel alipiga shuti ndani ya meta tatu katika dakika za nyongeza Huku Liverpool ikidai kuwa  Andy Carroll alifanya faulo kwa mlinda mlango Simon Mignolet.

2-1

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers