HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

9 April 2014

CHELSEA YAKATA MAINI YA PSG, DORTMUND YASHINDWA KUMALIZIA KILIMA


Mshambuliaji wa Chelsea Demba Ba ameimaliza PSG dakika tatu kabla mchezo kumalizika na kuipeleka  Chelsea nusu fainali ya ligi ya mabingwa bara la ulaya kwa sheria ya goli la ugenini .
Huku ikiwa imefungwa goli tatu moja katika  mechi ya kwanza , Akitokea kwenye Benchi Andre Schurrle alipunguza goli moja kwa malizia mpira na kutikisa wavu . 

Lakini wakati  Schurrle wakigongesha miamba na  Oscar , ilionekana kama Chelsea ingechemka.
Chelsea walikuwa na bahati pale Ba alipofunga na kuipeleka timu ya Mreno  Jose Mourinho's nusu fainali .


 Borussia Dortmund
Real Madrid wameiwekea Ngumu  Borussia Dortmund nakufanikiwa kuingia nusu fainali ya klabu bingwa barani ulaya  .

Real imeshinda kwa faida ya magoli matatu kwa mawiri  na wangezewa kufuzu mapema baada mkwaju wa penati wa  Angel Di Maria's kuokolewa.

Kutoka hapo ukawa muda wa  weneyeji kushika hatamu wakati  Marco Reus akimzunguka  Iker Casillar na kufunga goli la uongozi  .

Reus alijitahidi kupiga mashuti lakini hakufua dafu huku  Henrikh Mkhitaryan akigongesha mwamba , Real imetinga nusu fainali kwa mabao matatu kwa mawili


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers