HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

15 April 2014

Lukas Podolski AIMALIZA WEST HAM UNITED

                                               Lukas Podolski  

Lukas Podolski amefunga magoli mawili katika ushindi wa Arsenal huku ikitokea nyuma na kuishinda west ham bao tatu kwa moja na kurejea juu ya Everton katika nafasi ya kutafuta kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya

Matt Jarvis alifunga kwa kichwa na kuiweka arsenal katika jaribio la kutaka kushindwa kupata ushindi katika mechi tano mfululizo.
Lakini  Podolski alisawazisha dakika mbili baadae na kurejesha furaha ambayo waliipata katika ushindi wa kombe la  FA Cup .
Olivier Giroud's alifunga la pili na baadae  Podolski's kumaliza kabisa msumari wa mwisho katika jeneza la West ham na kurejea nafasi ya nne .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers