9 May 2014

FERDINAND "MAN U ITAJUTA MSMI UJAO "

as_vidic

Rio Ferdinand Anaamini kuwa  Manchester United itajuta kumuachia Nemanja Vidic kuhama wakati huu wa kiangazi .
Nahodha huyo atatiasaini  Inter Milan Mwezi ujao.
Ferdinand Anasema : "Ni muda ndio utatueleza kuwa tulifanya makosa kwa Manchester United


"Kawaida tu Jaap Stam amecheza kwa miaka michahce na na katika kiwango cha juu kabla hajaondoka  Man United na kitu kama hicho kinaweza kutokea kwa Nemanja. Na itakuwa ni ujinga kumuacha Aondoke ."

No comments:

Post a Comment