7 May 2014

SCOLARI AWACHINJA,KAKA,RONARDINHO KOMBE LA DUNIA

Scolari to get second stint as Brazil manager for 'home' World Cup - video 
Kocha mkuu wa Timu ya taifa ya Brazil Luiz Felipe Scolari ametaja majina ya wachezaji watakao iwakirisha brazil katika fainali za kombe la Dunia zikatazofanyika Nchini kwake huku majina ya wakongwe Ronaldinho gaucho na Rikaldo kaka yakikosekana katika kikosi hicho na hiki ndicho kikosi kamili cha timu ya taifa ya Brazil.
Goalkeepers: Jefferson (Botafogo), Julio Cesar (Toronto FC), Victor (Atletico MG).

Defenders: Dante (Bayern Munich) David Luiz (Chelsea), Henrique (Napoli), Thiago Silva (PSG) Dani Alves (Barcelona), Maicon (Roma) Marcelo (Real Madrid), Maxwell (PSG).

Midfielders: Fernandinho (Manchester City) Hernanes (Inter) Luiz Gustavo (Wolfsburg) Oscar (Chelsea) Paulinho (Tottenham Hotspur), Ramires (Chelsea), Willian (Chelsea).

Forwards: Bernard (Shakhtar Donetsk), Fred (Fluminense) Hulk (Zenit) Jo (Atletico MG), Neymar (Barcelona).

No comments:

Post a Comment