HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

4 May 2014

JUVE,JUVE,JUVEEE YATWAA TAJI ITALIA Scudetto

 Catania beat Roma to give Juventus the Serie A title

Juventus imeshinda taji la tatu mfululizo katika ligi ya Italia baada ya mahasimu wao wakubwa   Roma Kutandikwa bao Bao nne kwa Moja Dhidi ya Catania.
Ikihitaji ushindi ilikuweka matumaini japo ni finyu ya kutwaa ubingwa wa Italia , Roma ilijikuta nyuma ya mabao 2-0 baada ya Nahodha wa Mariano Izco's kufunga magoli mawili kwa mashuti makali na kuipa uongozi timu hiyo inayoshika nafasi za chini katika msimamo wa ligi ya Italia .
Mchezaji wa As  Roma  Francesco Totti alisawazisha kabla ya Mapumziko lakini  , Gonzalo Bergessio na  Pablo Barrientos walihihakikishia ushindi  Catania's katika kipindi cha pili  .
  Kipigo hicho kinaicha  Roma Alama nane nyuma ya Juventus ikiwa na mechi mbili mkononi .
Sasa  Antonio Conte's atakuwa anajiandaa kushekerekea ushindi na vijana wake  baada ya kutwaa kombe la  Scudetto siku ya  dhidi ya  Atalanta Jumatatu  .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers