HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

11 May 2014

SIKU 14 ZAIPA MAN CITY UBINGWA ,LIVERPOOL YALINDA HESHIMA .

Words of thanks: This City supporter showed his appreciation to Liverpool captain Steven Gerrard for slipping against Chelsea and allowing Demba Ba to score a vital goal
                
Manchester City Imetwaa Ubingwa wa  Barclays Premier League kwa mara ya pili katika miaka mitatu na kunyanyua furaha katika uwanja   Etihad Jumapili Mchana  .
Magoli ya  Samir Nasri na Vincent Kompany yaliisaidia  City Kupata ushindi wa mabao mawili  2-0 Dhidi ya West Ham na kuukata ushindi wa Liverpool's 2-1 kuonekana hauna maana  Dhidi ya  Newcastle United katika uwanja wa Anfield.

 Captain fantastic: Vincent Kompany lifts the Premier League trophy in front of his ecstatic teammates
Mamia ya mashabiki wa Man  City waliingia kiwanjani mara baada ya mpira kumalizika ,Kwenda kuwashangilia mashujaa wa timu yao  huku miare ya Moto wa Blue ukiwa unalambaza  Sherehe za ushindi huo .

Ilioonekana kama  Liverpool wangetawazwa kuwa mabingwa kwa mara ya kwanza kwa miaka 24 walipowafunga City April 13, Lakini mwenendo mzuri wa ushindi wa city ambao walikuwa na mechi kadhaa mkononi uliwapatia taji jingine.
Katika mechi  ,ambayo  walipoteza  2-0 Nyumbani Dhidi Chelsea April 27 na Alama mbili walizopoteza Dhidi ya  Crystal Palace jumatatu iliyopita iliwafanya wachemshe katika siku ya mwisho .
Sasa ina maana imeshinda makombe mawili msimu huu  Premier League na  Capital One Cup,Walipoifunga   Sunderland katika Dimba la  Wembley Mwezi wa Tatu .

Akiongea baada ya  Kompany kunyanyua kikombe huku akichagizwa na makelele mengi  , Pellegrini anasema : 'Ni muhimu , Ni mwaka wa kwanza hapa Uingereza na sasa imekuwa rahisi . Nadhani nimeweza kumiliki Kundi la wachezaji wakubwa na mashabiki wa wakubwa wa soka

‘Sisi ni bora zaidi kwenye  Premier League. Ulikuwa msimu maalumu kwetu, Tulipata kazi kubwa na hatuklutaka tamaa , Tulikuwa na mechi kadhaa zilizo hairishwa . lakini wachezaji walikuwa na imani nami . Ni kundi maalumu sana .

'Nilikuwa mwangalifu sana katika baadhi ya mechi kwa sababu nilitakiwa kufanya maamuzi . Na mwaka mzima, Kumekuwa na matukio  mengi magumu .
'Wachezaji waliamini kile ambacho niliwaambia  . Kucheza ninavyotaka , .'

City wameshinda taji hilo kwa kuongoza kwa siku kumi na nne tu lakini  Pellegrini Hakutilia maanani sana na alionekana kutaka medali zaidi msimu ujao .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers