HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

5 June 2014

SIASA ZA KUIPELEKA ZFA FIFA NDANI YA TFF(RADIO CONFERENCE)


Nembo unayoiona hapo Pembeni ni ya chama cha soka cha Zanzibar ZFA. Nchi  ambayo kwa miaka mingi imekuwa  na ndoto za kutaka kutambulika fifa lakini jambo kuu na la msingi yapo mambo kadhaa ambayo wadau na wanasheria wanaoujua mchezo huu unaopendwa na watu wengi Duniani kuwa Haiwezekani kwa Nchi hiyo ambayo ipo Ndani ya Nchi inayosemwa imevaa koti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo Ni Tanganyika .

Je unafikili nani ni mkweli katika Mjadala huu wa kuipeleka FIFA zanzibar sikiliza wachambuzi hawa .
PLAY


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers