DUNIA YA MICHEZO

MICHEZO BILA ELIMU =0

HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

30 August 2014

LIGI KUU YA UINGEREZA INAPOTOA MATOKEO YA KUSHANGAZA

Diego Costa (centre) celebrates his opening goal


Diego Costa amefunga magoli mawili huku  Chelsea ikipata ushindi wa Kushangaza katika Dimba la   Everton Wakiilinda Takwimu yao ya Asimilimia 100% ya ushindi katika msimu mpya  Ligi kuu ya Uingereza .

Everton walijitahidi kurejesha magoli yao kutoka goli mbili nyuma lakini jitihada zao hazikuweza kufua dafu sana mara baada ya kujikuta katika Dakika kumi za Mwisho wakiruhu mabao matatu.
Kevin Mirallas heads in for Everton

Lakini Jose Mourinho's aliweza kuhimili mikimiki ya mechi hiyo nakuondoka na alama tatu muhimu huku wakionyesha uwezo tofauti na ule wa mwaka jana baada ya kufungwa  1-0 msimu uliopita katika Dimba la  Goodison Park muda kama huu mwaka jana .

Tangia hapo , Magoli yalikuwa yakiingia kwa upande wa  Chelsea baada ya wapinzani kuzidiwa katika sehemu ya katikati ,Kitu ambacho hakuna ambaye angeweza kuwalaumu katika muda huu wa msimu .
Samuel Eto'o scores for Everton

Hata baada ya kumuondoa mchezaji aliyeigharimu  £50m  Fernando Torres wiki hii , Waliweza kuonyesha namna gani walivyoweza kusajiri msimu huu na kuonyesha mabadiliko makubwa -Hasa pale safu ya Ulinzi ya Everton ilivyoonyesha Udhaifu Mkubwa katika kuzuia mashambulizi  .
 Branislav Ivanovic celebrates scoring Chelsea's second
Costa alihihakikishia ushindi timu yake huku akinonyesha kuwa kiwango kilichotumika kumnunulia kilikuwa sahihi £32m akitokea  Atletico Madrid baada ya kufunga goli katika Sekunde ya 35 , akikimbia kwa kasi huku akiisubiri pasi kutoka mchezaji mwenzake mpya , Cesc Fabregas.

 

MATOKEO MAKUBWA KUTOKEA EPL


: Portsmouth 7-4 Reading (2007), Tottenham 6-4 Reading (2007), Tottenham 9-1 Wigan Athletic (2009), Manchester United 8-2 Arsenal (2011), Arsenal 7-3 Newcastle (2012) and West Brom 5-5 Manchester United (2013). There have been 12 other Premier League matches containing nine goals.


at 8/30/2014
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers

DAVID KAMBONA

DAVID KAMBONA
+255713153348

KAMBONA &GILBRTO WA BRAZL. /7/6/10

KAMBONA NA NADIR HAROUB( CANAVARO)

KAMBONA &KAREMBEU

BADO


HABARI MUHIMU

  • HISTORIA FUPI YA MAREHEMU OSCAR KAMBONA.
    Marehemu Oscar Kambona alizaliwa mwaka 1925 katika kijiji cha Kwambe kilichopo mwambao mwa ziwa Nyasa, karibu na Mbamba-bay, wilaya ya Mbing...
  • (no title)
    Ukiwa kama msomi katika mpira wa miguu wanachokifanya makocha hawa ingekuwa wazawa wangepewa tuhuma nyingi sana na kazi wangepoteza kwa k...
  • SOMA WASIFU WA JAMALI MALINZI JE ANAFAA KUWA RAIS WA TFF
    UCHAGUZI WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) 2013 ILANI YANGU YA UCHAGUZI Utangulizi Ndugu zangu, Nianze kwa kumshukuru Mwen...
  • AZAMFC YAMTAKA KIEMBA KWA MKOPO(SIKIZA SAUTI)
    Mabingwa wa soka Tanzania bara Azam FC wametangaza dhamira yao ya kutaka kumsajili kiungo wa klabu ya Simba Amri Ramadhan Kiemba am...
  • NUKUU ZA 2012 (Gennaro Gattuso) KAZI KWELI KWELI !
    “Vijana wachezaji  mpira kiwanjani Wakiona Mpira machoni ni kama wameona chakula . Nakwenda mbali zaidi Ni kheri nikamuaona  Raul Kiwanj...

MITANDAO MINGINE

  • Arsenal FC News Feed
    Wenger - The Premier League is very conservative - The Arsenal manager discusses safe standing and why he is open to its reintroduction
    22 hours ago
  • BBC Sport - Football
    Gossip: Man Utd to demand £140m for Pogba in the summer - Manchester United will demand £140m for Pogba, Manchester City still interested in Mahrez, West Ham hope to keep Hart, plus more.
    2 hours ago
  • BBCSwahili.com | Habari | Swahili News index
    Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 20.04.2018 - Paris St-Germain wamewasiliana na ajenti Mino Raiola kuhusu uhamisho wa kiungo wa kati wa Man United Paul Pogba. (ESPN)
    1 hour ago
  • Bleacher Report - World Football
    Jose Mourinho 'Pissed Off' with 'Child' Paul Pogba; United 'Want' £140M - Manchester United superstar Paul Pogba has been behaving like a "petulant child" of late and is said to be on bad terms with manager Jose Mourinho as their...
    18 minutes ago
  • Burudan Mwanzo - Mwisho
    MABONDIA KUONESHANA UMWAMBA MEI 5 IDD MKWERA NA RAMADHANI SHAURI KUWAONGOZA - Bondia Idd Mkwera baada ya kupoteza mpambano wake wa nje uliofanyika Riga Ratvia kwa point bondia huyo sasa amesaini mkataba wa kuzipiga na bondia macha...
    6 days ago
  • CaughtOffside
    Almost done: Barcelona prepare for significant deal at end of season, destination touted - Barcelona stalwart Andres Iniesta continues to reportedly edge closer to an exit from the Nou Camp, with his destination this summer now being touted. Th...
    2 hours ago
  • CNN.com
    Legendary surfer rescues stranded family - Surfing legend Laird Hamilton has helped dozens of people and animals from floods in Hawaii.
    34 minutes ago
  • Confederation of African Football - News
    -
  • FIFA.com - Latest News
    Rimet’s World Cup vision realised - In the build-up to Russia 2018, *FIFA.com *will be highlighting some classic FIFA World Cup images. This week, we go right back to the start with a shot of...
    2 months ago
  • Football & Soccer News, Scores & Results - Tribal Football
    -
  • Football - Fixtures, results, news, match reports, comment
    New law agreed to prevent sports coaches having relationships with 16 and 17-year-olds -
    5 months ago
  • Football - StarAfrica.com
    Florentin Pogba aims for the 2018 World Cup! - In an exclusive interview with Orange Football Club, Guinea international defender, Florentin Pogba, said that he wants to be in the 2018 World Cup with ...
    1 year ago
  • Football Games, Results, Scores, Transfers, News | Sky Sports
    -
  • Football | Mail Online
    Neymar shops in Rio de Janeiro with girlfriend Bruna Marquezine - The PSG striker is still using a crutch and a protective boot on his right foot after suffering a broken metatarsal against Marseille in February, but that...
    27 minutes ago
  • Frontpage // marca.com
    Real Madrid sunk by Submarine - Leer
    2 years ago
  • HABARI NA MATUKIO
    UNESCO YAWANOA MAFUNDI MITAMBO WA REDIO ZA JAMII 25 - *Afisa Miradi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Rose Ngunangwa akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya kuwajengea ...
    49 minutes ago
  • HOME
    MSUVA AFIKISHA MAGOLI 50 YANGA SC - Ilikuwa dakika ya 68 akitokea wing ya kulia baada ya kuwahadaa vyema walinzi wa Mtibwa Sugar na kuiandikia Yanga SC goli la pili na goli la 50 katika ...
    1 year ago
  • Italian football news | Football Italia
    -
  • JANE JOHN
    DISCUSSION ON EU-TANZANIA TRANSFER AGREEMENT WHICH ALLOWS TO TRIAL PIRATES CAPTURED BY EUROPEAN NAVAL FORCES IN TANZANIA COURTS - [image: 1] *From left is Political Officer Delegation of the European Union Tom Vens, Rear Admiral Commander Task Force 465 Jürgen zur Mühlen , and the Cha...
    3 years ago
  • Latest Football news, Blogs & Forums | FourFourTwo
    -
  • Latest Sport news, results and comment | Sport | The Independent
    -
  • LENZI YA MICHEZO
    PICHA ZA UTUPU ZAWAFIKISHA KWA PILATO DIAMOND NA NANDY - [image: Diamond Platnumz] WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamduni na michezo, Dk Harrison Mwakyembe ameagiza kukamatwa kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya Fau...
    1 day ago
  • ManUtd.com News RSS
    United fans can shock Tottenham - Why Saturday's FA Cup semi-final at Wembley should be nothing like a home match for Tottenham.
    17 hours ago
  • MICHUZI BLOG
    WAGENI WAMIMINIKA BANDA LA TANZANIA WTM AFRIKA - *Na: Geofrey Tengeneza-Capetown Afrika Kusini Banda la Tanzania katika maonesho ya Kimataifa ya WTM Afrika yanayofanyika jijini Capetown Afrika ...
    2 hours ago
  • mirror - Football
    Antonio Conte is going down fighting at Chelsea - his players are determined to ensure his reign ends on a high - There remains enough pride in this Chelsea side to continue the fight and they showed that with victory at Burnley
    1 hour ago
  • MO BLOG
    UNESCO yawanoa mafundi mitambo wa redio za jamii nchini - Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), limeanza kutoa mafunzo ya siku saba kwa mafundi mitambo wa radio za jamii 25 kutoka Ta...
    4 hours ago
  • MTAA KWA MTAA BLOG
    MAMA NI MUNGU WA PILI DUNIANI: AUNTY EZEKIEL -
    2 hours ago
  • ROCKERSPORTS
    Hatma ya Morocco kuandaa AFCON kujulikiana Nov 11 - *Shirikisho la soka barani Afrika limesema linatambua juu ya mlipuko wa ugonjwa Ebola barani Afrika licha ya kugomea ombi la kuahirishwa kwa fainali za ma...
    3 years ago
  • SUFIANIMAFOTO
    WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI MBADALA BENKI YA DUNIA, KANDA YA AFRIKA - Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wakwanza kushoto) akitoa ufafanuzi kwa Mkurugenzi Mtendaji Mbadala Benki ya Dunia, Kanda ya...
    14 hours ago
  • Super Mario Blog
    Mtoto wa miaka sita ampa ajira Mourinho Villa Park - *KIJANA mdogo wa miaka sita mshabiki wa Aston Villa,Jude Branson amemuandikia barua kocha wa Chelsea Jose Mourinho akimuomba kuhamia huko Villa park ili ...
    3 years ago
  • TanzaniaSports.com | All About Sports in Tanzania
    KUFUZU KWA YANGA KUTUMIKE KIBIASHARA - Ndani ya miaka mitatu Yanga imefanikiwa kuingia katika hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika mara mbili. Miaka hii mitatu ilikuwa na majira...
    22 hours ago
  • ZanziNews
    Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi za kiraia kusaidia huduma za kijamii - Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kati kati akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Kiraia ya kumjengea uwezo wa Kielimu Mtoto wa Kike...
    2 hours ago

MATOKEO

MUDA

World time

VICHWA VYA HABARI

K-SPORT.COM/UK

VIWANGO VYA UBORA FIFA

TUTUMIE HABARI YA MICHEZO ,BURUDANI TUTACHAPISHA

TUTUMIE HABARI YA MICHEZO ,BURUDANI TUTACHAPISHA
lisungu_chisara@yahoo.com

IDADI YA MLIOTEMBELEA

blog counter
blog counter

Feedjit

Lisungu David kambona .http://duniayamichezo.blogspot.com/. Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.