HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

31 August 2014

BRENDAN ROGERS AIMALIZA SPURS KATIKA MECHI YAKE YA MIA MOJA

Steven Gerrard scores
 
Brendan Rodgers ameshekherekea mechi yake ya mia moja akiwa na klabu cha soka cha Liverpool akiwa kama meneja wa timu huku akipata ushindi malidadi, akiivulumisha mabao matatu kwa bila Timu ambayo ilikuwa haijafungwa mpaka sasa  ya Tottenham katika Dimba la  White Hart Lane. 

Liverpool beat Tottenham
 
Mario Balotelli alipoteza nafasi Kadhaa katika siku ya kwanza ya Mchezo lakini haikujarisha sana kwani Bado waliibamiza   Spurs ambao wamefungwa kwa mara ya kwanza ikiwa na kocha Mpya  Mauricio Pochettino. 

Liverpool, walipata ushindi wa mabao  5-0 katika mechi kama msimu uliopita , ambapo  Raheem Sterling alitengeneza moja kati ya Magoli hayo . 

Steven Gerrard's alifunga kwa penati goli la pili na Alberto Moreno's alifunga goli la tatu mara baada ya kuukokota mpira kutoka katikati ya kiwanja . 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers