DUNIA YA MICHEZO

MICHEZO BILA ELIMU =0

HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

30 August 2014

LIGI KUU YA UINGEREZA INAPOTOA MATOKEO YA KUSHANGAZA

Diego Costa (centre) celebrates his opening goal


Diego Costa amefunga magoli mawili huku  Chelsea ikipata ushindi wa Kushangaza katika Dimba la   Everton Wakiilinda Takwimu yao ya Asimilimia 100% ya ushindi katika msimu mpya  Ligi kuu ya Uingereza .

Everton walijitahidi kurejesha magoli yao kutoka goli mbili nyuma lakini jitihada zao hazikuweza kufua dafu sana mara baada ya kujikuta katika Dakika kumi za Mwisho wakiruhu mabao matatu.
Kevin Mirallas heads in for Everton

Lakini Jose Mourinho's aliweza kuhimili mikimiki ya mechi hiyo nakuondoka na alama tatu muhimu huku wakionyesha uwezo tofauti na ule wa mwaka jana baada ya kufungwa  1-0 msimu uliopita katika Dimba la  Goodison Park muda kama huu mwaka jana .

Tangia hapo , Magoli yalikuwa yakiingia kwa upande wa  Chelsea baada ya wapinzani kuzidiwa katika sehemu ya katikati ,Kitu ambacho hakuna ambaye angeweza kuwalaumu katika muda huu wa msimu .
Samuel Eto'o scores for Everton

Hata baada ya kumuondoa mchezaji aliyeigharimu  £50m  Fernando Torres wiki hii , Waliweza kuonyesha namna gani walivyoweza kusajiri msimu huu na kuonyesha mabadiliko makubwa -Hasa pale safu ya Ulinzi ya Everton ilivyoonyesha Udhaifu Mkubwa katika kuzuia mashambulizi  .
 Branislav Ivanovic celebrates scoring Chelsea's second
Costa alihihakikishia ushindi timu yake huku akinonyesha kuwa kiwango kilichotumika kumnunulia kilikuwa sahihi £32m akitokea  Atletico Madrid baada ya kufunga goli katika Sekunde ya 35 , akikimbia kwa kasi huku akiisubiri pasi kutoka mchezaji mwenzake mpya , Cesc Fabregas.

 

MATOKEO MAKUBWA KUTOKEA EPL


: Portsmouth 7-4 Reading (2007), Tottenham 6-4 Reading (2007), Tottenham 9-1 Wigan Athletic (2009), Manchester United 8-2 Arsenal (2011), Arsenal 7-3 Newcastle (2012) and West Brom 5-5 Manchester United (2013). There have been 12 other Premier League matches containing nine goals.


at 8/30/2014
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
View mobile version
Subscribe to: Post Comments (Atom)

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers

DAVID KAMBONA

DAVID KAMBONA
+255713153348

KAMBONA &GILBRTO WA BRAZL. /7/6/10

KAMBONA NA NADIR HAROUB( CANAVARO)

KAMBONA &KAREMBEU

BADO


HABARI MUHIMU

  • THE ORIGINAL HISTORY OF OSCAR SALATHIEL KENETH KAMBONA 1925 -1997
    Oscar Selathiel Kambona was born on the shores of Lake Nyasa in a small village called Kwambe near Mbamba Bay in the district of Mbinga, Son...
  • HUYU NDIYE JUMA SALUM MBATIANI(JUMA UBAO) KING MAKUSA
    JUMA UBAO AKIWA ANPIGA NGOMA KATAIKA OFISI ZAKE ZILIZOPO BASATA Muziki wa tanzania una historia ya kubwa sana kwani muziki huo ndiyo ulioc...
  • MWONGOZO KUTOKA TFF
    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imesema uwakilishi wa ujumbe kwenye Mkutano Mkuu...
  • SOMA WASIFU WA JAMALI MALINZI JE ANAFAA KUWA RAIS WA TFF
    UCHAGUZI WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) 2013 ILANI YANGU YA UCHAGUZI Utangulizi Ndugu zangu, Nianze kwa kumshukuru Mwen...
  • MGAMBO WITH LACK HUMANITY
    MGAMBO WITH LACK OF HUMANITY How are you dear blogers? I believe your fine it is another edition with another big issue we will discuss to...

MITANDAO MINGINE

  • Arsenal FC News Feed
    End of Season Supporter Forum – 2024/25 - This week, we welcomed supporter representatives to Emirates Stadium for our End of Season Supporter Forum
    12 hours ago
  • BBC Sport - Football
    Spurs agree £5m deal for Japan's Takai - Tottenham agree a £5m deal to sign Japan centre-back Kota Takai from Kawasaki Frontale.
    2 hours ago
  • BBCSwahili.com | Habari | Swahili News index
    Al Udeid: Kwanini Iran imeshambulia kambi hii kubwa zaidi ya kijeshi ya Marekani? - Takriban raia 8,000 wa Marekani wanaishi kwenye kambi hii, kwa mujibu wa Wizara ya mambo ya nje ya Marekani
    3 hours ago
  • Bleacher Report - World Football
    B/R Staff Predictions for the 2025 UEFA Champions League Playoff Round Bracket - This year's knockout stage of the UEFA Champions League begins with a unique and exciting playoff round. For teams such as Real Madrid and Manchester City,…
    4 months ago
  • Burudan Mwanzo - Mwisho
    BONDIA MAKUBI ATAMBA KUMPIGA ABDALLAH MA MOROGORO OKTOBA 4 KATIKA UKUMBI WA 361 MWENGE - Na Mwandishi wetu Bondia Ibrahim Makubi yupo kambini kwa ajili ya mazoezi yake ya kumkabili bondia abdallah kingolwira wa ( morogoro ) katika pambano l...
    5 years ago
  • CaughtOffside
    Sources: €80m Premier League star among four players on Chelsea shortlist - Chelsea have already been busy this summer, and soon, they will step up their efforts to sign a new central defender. Chelsea have been exploring differe...
    7 hours ago
  • CNN.com
    Abortion and guns in 2024 spotlight -
    2 years ago
  • Confederation of African Football - News
    -
  • FIFA.com - Latest News
    Guyana reap rich rewards for investment -
    5 years ago
  • Football & Soccer News, Scores & Results - Tribal Football
    -
  • Football - Fixtures, results, news, match reports, comment
    Tesco forcing suppliers to go through price rises ‘line by line’ -
    2 years ago
  • Football - StarAfrica.com
    Gabon : Daniel Cousin a (enfin) signé son contrat - Sortie de crise à Libreville. Le sélectionneur du Gabon, Daniel Cousin, a enfin signé le contrat qui le lie à l'équipe nationale de football. Les termes de...
    6 years ago
  • Football Games, Results, Scores, Transfers, News | Sky Sports
    -
  • Football | Mail Online
    Revealed: Chelsea are weighing up a move for Alejandro Garnacho as he looks for an Old Trafford escape route - while Blues forward could head in the opposite direction - KIERAN GILL: Garnacho has been on Chelsea's winger shortlist since January, when they were tempted to try for the 20-year-old Argentinian.
    20 minutes ago
  • Frontpage // marca.com
    Real Madrid sunk by Submarine - Leer
    9 years ago
  • HABARI NA MATUKIO
    CRDB Bank Foundation, Manispaa ya Ilala wazindua shilingi bilioni 18 mikopo ya wajasiriamali - Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mheshimiwa Edward Mpogolo (wa tatu kushoto) akiwa na Meneja Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Julius Mnganga (wa pili kulia) wakiwa n...
    8 hours ago
  • HOME
    MSUVA AFIKISHA MAGOLI 50 YANGA SC - Ilikuwa dakika ya 68 akitokea wing ya kulia baada ya kuwahadaa vyema walinzi wa Mtibwa Sugar na kuiandikia Yanga SC goli la pili na goli la 50 katika ...
    8 years ago
  • Italian football news | Football Italia
    -
  • JANE JOHN
    DISCUSSION ON EU-TANZANIA TRANSFER AGREEMENT WHICH ALLOWS TO TRIAL PIRATES CAPTURED BY EUROPEAN NAVAL FORCES IN TANZANIA COURTS - [image: 1] *From left is Political Officer Delegation of the European Union Tom Vens, Rear Admiral Commander Task Force 465 Jürgen zur Mühlen , and the Cha...
    11 years ago
  • Latest Football news, Blogs & Forums | FourFourTwo
    -
  • Latest Sport news, results and comment | Sport | The Independent
    -
  • LENZI YA MICHEZO
    BONANZA LA NMB KIJIJI DAY YAFANA NGORONGORO - Na Mwandishi Wetu.Ngorongoro,Arusha. Benki ya NMB kupitia kampeni yake ya NMB Kijiji Day imefanya shughuli mbalimbali za kijamii katika tarafa ya Lolion...
    2 weeks ago
  • ManUtd.com News RSS
    United trigger Keira Barry contract extension - Barry featured for the Reds at May's seven-a-side tournament in Estoril.
    5 hours ago
  • MICHUZI BLOG
    UTEUZI: RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI VIONGOZI MBALIMBALI MUDA HUU -
    2 hours ago
  • mirror - Football
    Arsenal identify Chelsea star as Benjamin Sesko alternative amid transfer 'stalemate' - Arsenal are eager to snap up a new striker this summer after struggling in the title race last season due to their lack of forwards and Mikel Arteta has id...
    49 minutes ago
  • MO BLOG
    Nhà Cái VF555 Nhiều Chương Trình Khuyến Mãi VF555 Tặng 128K - Nhà cái VF555 Tặng 128K không chỉ nổi tiếng với sự uy tín mà còn là điểm đến lý tưởng cho những người yêu thích các trò chơi cá cược. Với nhiều chương trìn...
    1 year ago
  • MTAA KWA MTAA BLOG
    Compact Energies Yaonesha Utayari wa Uchumi wa Buluu - *Kwa kutumia teknolojia ya umeme jua. Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya uzalishaji na ufungaji wa vifaa vya umeme Jua Compact Energies inayoshiriki katik...
    3 hours ago
  • ROCKERSPORTS
    Hatma ya Morocco kuandaa AFCON kujulikiana Nov 11 - *Shirikisho la soka barani Afrika limesema linatambua juu ya mlipuko wa ugonjwa Ebola barani Afrika licha ya kugomea ombi la kuahirishwa kwa fainali za ma...
    10 years ago
  • SUFIANIMAFOTO
    TUWAPE FARAJA FAMILIA ZENYE WATOTO WENYE USONJI, TUSIWATENGE -JACKLINE MJEMA - *Mwandishi na Mtunzi wa Vitabu, Jackline Christopher akionesha kitabu chake cha All the Colors I See baada ya kukizindua mapema wiki hii ambapo kinazung...
    1 month ago
  • Super Mario Blog
    Barcelona washtukia mchezo mchafu wa Real Madrid - *RAIS wa Barcelona Josep Maria Bartomeu* amefichua kuwa mahasimu wao Real Madrid wamehusika na mchezo wa uhamisho wa Neymar kiasi cha kutakiwa kuwasilish...
    10 years ago
  • TanzaniaSports.com | All About Sports in Tanzania
    Wachezaji kumiliki timu lina maana gani? - MACHO na masikio kwa sasa yapo kwa wachezaji wanaostaafu kucheza soka sehemu mbalimbali duniani. Wachezaji hawa wamekuwa wakisababisha maswali mengi […]
    16 hours ago
  • ZanziNews
    Mhe.Majaliwa Ameagiza Usimamiaji na Udhibiti wa Ubora wa Elimu - Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro(MUM), alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Sul...
    3 days ago

MATOKEO

MUDA

World time

VICHWA VYA HABARI

K-SPORT.COM/UK

VIWANGO VYA UBORA FIFA

TUTUMIE HABARI YA MICHEZO ,BURUDANI TUTACHAPISHA

TUTUMIE HABARI YA MICHEZO ,BURUDANI TUTACHAPISHA
lisungu_chisara@yahoo.com

IDADI YA MLIOTEMBELEA

blog counter
blog counter

Feedjit

Lisungu David kambona .http://duniayamichezo.blogspot.com/. Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.