DUNIA YA MICHEZO

MICHEZO BILA ELIMU =0

30 August 2014

LIGI KUU YA UINGEREZA INAPOTOA MATOKEO YA KUSHANGAZA

Diego Costa (centre) celebrates his opening goal


Diego Costa amefunga magoli mawili huku  Chelsea ikipata ushindi wa Kushangaza katika Dimba la   Everton Wakiilinda Takwimu yao ya Asimilimia 100% ya ushindi katika msimu mpya  Ligi kuu ya Uingereza .

Everton walijitahidi kurejesha magoli yao kutoka goli mbili nyuma lakini jitihada zao hazikuweza kufua dafu sana mara baada ya kujikuta katika Dakika kumi za Mwisho wakiruhu mabao matatu.
Kevin Mirallas heads in for Everton

Lakini Jose Mourinho's aliweza kuhimili mikimiki ya mechi hiyo nakuondoka na alama tatu muhimu huku wakionyesha uwezo tofauti na ule wa mwaka jana baada ya kufungwa  1-0 msimu uliopita katika Dimba la  Goodison Park muda kama huu mwaka jana .

Tangia hapo , Magoli yalikuwa yakiingia kwa upande wa  Chelsea baada ya wapinzani kuzidiwa katika sehemu ya katikati ,Kitu ambacho hakuna ambaye angeweza kuwalaumu katika muda huu wa msimu .
Samuel Eto'o scores for Everton

Hata baada ya kumuondoa mchezaji aliyeigharimu  £50m  Fernando Torres wiki hii , Waliweza kuonyesha namna gani walivyoweza kusajiri msimu huu na kuonyesha mabadiliko makubwa -Hasa pale safu ya Ulinzi ya Everton ilivyoonyesha Udhaifu Mkubwa katika kuzuia mashambulizi  .
 Branislav Ivanovic celebrates scoring Chelsea's second
Costa alihihakikishia ushindi timu yake huku akinonyesha kuwa kiwango kilichotumika kumnunulia kilikuwa sahihi £32m akitokea  Atletico Madrid baada ya kufunga goli katika Sekunde ya 35 , akikimbia kwa kasi huku akiisubiri pasi kutoka mchezaji mwenzake mpya , Cesc Fabregas.

 

MATOKEO MAKUBWA KUTOKEA EPL


: Portsmouth 7-4 Reading (2007), Tottenham 6-4 Reading (2007), Tottenham 9-1 Wigan Athletic (2009), Manchester United 8-2 Arsenal (2011), Arsenal 7-3 Newcastle (2012) and West Brom 5-5 Manchester United (2013). There have been 12 other Premier League matches containing nine goals.


at 8/30/2014
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.