HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

20 August 2014

USHABIKI WA SOKA WAMFANYA PAPA FRANCIS KUWA KARIBISHA MABINGWA WA COPA Copa Libertadores San Lorenzo VATICAN


Pope Francis greets San Lorenzo football team players holding the Copa Libertadores they won last week at the Vatican on 20 August, 2014 
Wachezaji wa Timu ya soka ya San Lorenzo wamempelekea Medali kubwa ya Fedha papa Francis ,ambaye ni shabiki mkubwa wa timu hiyo tangu utotoni mwake  .
 
Pope Francis alikabidhiwa kikombe hicho cha Copa Libertadores na wachezaji na viongozi wa timu hiyo ya  Argentine .
Kiongozi huyo wa kanisa Katoriki ni mshabiki mkubwa wa Timu hiyo Tangu alipokuwa Mtoto wa Miaka ambayo maskani yake ni Buenos Aires- .
Jopo la Timu hiyo liliwasili kutoka  Argentine Hadi katika jiji la Vatican wakiwa na kikombe chao .

San Lorenzo wameshinda kikombe hicho kwa mara ya kwanza kikiwa ni kikombe kikubwa huko America ya kusini  tangu timu hiyo ilipoanzishwa mwaka 106.
Pope Francis greets San Lorenzo football team players holding the Copa Libertadores they won last week at the Vatican on 20 August, 2014  
San Lorenzo imepata nguvu zaidi Tangu papa Francis maarufu kama Jorge Mario Bergoglio kuwa Papa 
San Lorenzo players hold up the trophy after winning the Copa Libertadores 2014 final second leg football match against Nacional in Buenos Aires on 13 August, 2014 
Hapa ni siku ya Jumatano walipotwaa ubingwa  wa Copa Libertadores
Pope Francis holds a jersey of Argentine soccer team San Lorenzo, given to him as a gift from members of the team, during the Wednesday general audience in St Peter's Square at the Vatican on 18 December, 2013  
Na Mwezi  December walishinda kikombe hicho
A San Lorenzo player takes a picture of Pope Francis, before his general audience in the Paul VI hall at the Vatican on 20 August, 2014. Baadhi ya Wachezaji walimpiga picha kiongozi huyo ambaye ni shabiki maarufu wa timu hiyo  alipokuwa akipokea kikombe ,ambacho alikumbatia kwa dakika chache  
Mapema wiki hii , Papa  Francis alisema : "Nina Furahi sana kuhusu Jambo hili, Lakini , Hapana , Hii sio miujiza .

"Kwangu Mimi , San Lorenzo ndio timu ambayo familia yangu imekuwa ikiisapoti  .Baba Yangu alicheza kwenye timu ya mpira wa kikapu  na Tulipokuwa watoto  ,Mara Kadhaa tulikuwa tulikuwatunakwenda kiwanjani na  mama  ,"Aliongeza .

San Lorenzo iliifunga timu kutoka  Paraguay's Nacional 1-0 siku ya  13 August na ilipata shilingi  2-1 kwa matokeo ya Jumla .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers