HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 August 2014

VYOMBO VYA HABARI MNATUITA WATARII !NANI ATAKUJA KUTUDHAMINI?

Mchezo wa Riadha ni tofauti na soka kabisa ,Riadha huhusisha mchezaji mmoja Binafsi lakini soka ni timu nzima Leo jumatano Tarehe 27/08/14 Naamka Asubuhi na kutana na Suleiman Katika kipindi kimoja cha Televisheni Analalama sana kuhusu mchezo wa Riadha kujibu shutuma Nzito ambazo anazotupiwa kuhusu kuvulunda kwa Mchezo huo hapa Nchini .

Lakini wakati kipindi kinamalizaka Nyambui anatoa lawama kwa Vyombo habari alianza kuniudhi lakini nikaendelea kumsikiliza Nikacheka Tena kwa Tabasamu la Nguvu kwanini nilicheka?  alinipa Ujumbe kuwa Waandishi wa habari Ndio wanaoharibu mchezo wa Riadha.

Kwa maelezo aliyotoa Nyambui Binafsi kunaihitaji mabadiliko makubwa kwa Vyombo vya habari Nchini Nyambui anasema kuwa kitu pekee kinachokera mpaka wadau wanaanza kuona kuwa Riadha ni mchzeo wa watarii kwani pindi wanapokwenda kushiriki michuano ya kimataifa wanarudi bila Medali na Vyombo vya Habari huwapa jina la Watarii anasema jina hili ndilo linalowakera hata Wakuu wa makampuni mbalimbali  na yanashindwa kudhamini mchezo huo kutokana na kujengewa picha ya Kuwa wao ni Watarii .
"Unajua ngojeeni ni waeleze Tff na Rt ni tofauti sana wenzetu mchezo wao unaushawishi mkubwa tofauti na sisi ndio maana tunaona ni kheri tuwekeze kimataifa ili tupate wadhamini kama Nike au puma Hicho kitengo cha Masoko unachochesema Tff wanacho wenzetu ni rahisi kwa sabau mpira unalipa kirahisi kwani unawapenzi wengi kiwanjani  Tofauti na Riadha ambapo hata ukiiitisha mashindano wanaokuja kutazama ni wachache sana kwa hiyo ni vigumu makampuni kuja kutangaza sehemu yenye watazamji wachache!
 
Sikiliza ndugu Mtangazaji Ninyi wanahabari Mnatuita sisi watarii hayo maneno yanawaingia wenye makampuni ndio maana wanasita kudhamini kwasababu mnatuita Watariii Kazi ya Rt kwa kwa baraza la Michezo ni kupeleka mapendekezo ya Nini kifanyike katika  Brazala la Michezo lakini kuwapa makaratasi ni kitu kingine na kuwajibika ni kitu kingine lakini muache kutuita watariii jina hilo linawapa ukakasi wadau na makampuni kudhamini Mchezo wetu wa Riadha .
 
Naam Ni wakati wa sisi waandishi wahabari kuupromoti mchezo huu hata kama tunafanya Vibaya kwani hakuna Jambo Rahisi Dunia.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers