HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

4 September 2014

SIJAFIKA HATUA YA GIROUD WA ARSENAL"MBWANA SAMATA"MSIKIZE ALIVYOSEMA

Mchezaji wa Klabu ya soka ya Tout Puisant Mazembe na Timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samata  amewatahadharisha Baadhi ya Mashabiki wa Arsenal wanaosema anaweza kufit nafasi ya Mchezaji wa Klabu ya soka ya Arsenal Olivier Giroud raia wa ufaransa kuwa sio kweli na wanaosema hivyo hawezi kuwaabishia kwakuwa kila mmoja ana uhuru wa kusema anachotaka .

Amesema mara atakapomaliza kucheza Tp mazembe matarajio yake ni Kucheza ligi ya Ufaransa japo anapenda kucheza Uingereza lakini akasema kuwa wachezaji wengi na hata yeye angependa kucheza ligi ya Uingereza lakini anasema bado hajafikia hatua hiyo.

Anasema kwasasa yupo kwenye klabu ya mazembe na maisha yanakwenda vizuri Samata amesema hayo ikiwa ni saa chache kabla ya timu ya taifa ya Tanzania haijakwea kwenye Ndege kwenda kucheza mechi ya kirafiki Dhidi ya timu ya soka ya taifa ya Burundi mchezo utakaocheza siku ya jumapili .


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers