HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

31 August 2014

MZEE WENGER NA SAA CHACHE YA KUFUNGWA KWA DIRISHA LA USAJALI UINGEREZA

Leonardo Ulloa 

Leonardo Ulloa's amefunga goli lake la pili katika mechi ya pili kwenye uwanja wake wa Nyumbani na Kuipatia Leicester Alama moja Dhidi ya  Arsenal. 


Alexis Sanchez alifunga goli la uongozi kwa  Arsenal na Goli la Kwanza katika Ligi kwa shuti kali baada ya   Yaya Sanogo kushindwa kuumiliki mpira ambao ulikwisha mpita mlinda mlango  Kasper Schmeichel.


  Lakini Nigel Pearson's ambaye amepandisha timu hiyo walirejesha goli kupitia kwa Raia wa Argentina  Ulloa ambaye aliruka kuunganisha klosi zaidi beki wa  Laurent Koscielny na kupiga kichwa . 


Leicester ilipata nafasi za wazi katika kipindi cha pili  ,ambayo   Ulloa na Mchezaji aliyeingia kipindi cha pili  Jamie Vardy walikaribia kufunga . 


Ulloa alitengeneza nafasi kadhaa mapema katika kipindi cha pili  baada ya kupasiana pasi mbili tatu na Riyad Mahrez na kumuacha beki  Calum Chambers akiwa chini huku akigeuka kwa wepesi, lakini alipiga mpira uliokwena kugonga nyavu za pembeni .


Katika dakika za mwisho , Vardy alipata mpira na kupeleka mashambulizi ya Ghafla hadi kwenye eneo la penati lakini  huku akipigiana pasi  David Nugent, lakini shuti lake liliokolewa na mlinda mlango wa Arsenal  Wojciech Szczesny.


Huku  Leicester wakionyesha kulizika na alama moja  ,ulikuwa mchana mgumu zaidi kwa   Arsenal, ambao beki wao kati Laurent Koscielny akitolewa nje baada ya kuumia kichwa .


Kiungo Mesut Ozil aliweza kujikaza ma baada ya kuumia kifundo cha mguu na  Alex Oxlade-Chamberlain akipata maumivu ya msuli wa mguu , Lakini Kocha wa arsenal  Arsene Wenger alisema adhani kamka walikuwa makini .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers