HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

30 April 2009

MANCHESTER1-0 ARESNAL

MANCHESTER UNITED 1-0 ARSENAL NUSU FAINALI YA KWANZA OLD TRAFORD KLABU BINGWA ULAYA Michuano ya klabu bingwa iliendelea tena kwa mahasimu wawili kutoka nchini uingereza kuvaana hapa tunaongerea Man utd na arsenal ambazo zilikuwa zikikutana kwa mara ya kwanza katika uwanja wa old traford ambapo john o`shea ndiye aliye ipatia Manchester utd goli la ushindi, katika nusu fainali ya kwanza ambapo watarudiana tena wiki ijayo jumanne vilevile Barcelona ilitoka suluhu ya bila kufungana dhidi ya Chelsea katika uwanja wa nyumbani nou camp au camp nou . JOHN O`SHEA Akiifungia timu yake bao la ushindi katika nusu fainali ya kwanza ya michuano ya klabu bingwa balani ulaya iliyochezwa jumatano(29)aprilpicha BBCweb Kwa upande wa kocha wa Arsenal arsene wenger amesema kuwa “Nadhani united wajuta kwanini awakufunga magoli mengi watakapo kuja katika uwnja wa Emirates kwani wamekosa nafasi nyingi sana “ukiacha hilo arsenal ilitwala mchezo sana hasa kipindi cha pili man utd almanusura ipate goli la pili baada Christiano ronaldo kupiga shuti liligonga besera lakini sifa nying zitakuwa kwa manuel Almunia ambaye aliokoa michomo mingi kutoka kwa washambuliaji wa man united Winga wa arsenal Theo walcot akimpita Nemanja Vidic wa machester united katika michuano ya klabu bingwa balani ulaya man u ilishinda 1-0 picha BBCweb

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers