MANSPAA YA KINONDONO MPOO!!!
Moja kati ya vitu ambavyo vimekuwa hatari ukivifanyia mchezo ni afya hakika kwa mkazi wa Dar es salaam hasa wilaya ya Kinondoni Kijiji cha Kunduchi Kitongoji cha Mtakuja hata kubariana namei kuwa mpanglio wa maji taka na maji safi hasa katika mitalo ni dhofuli hari tena mbaya zaidi ipokaribu na hospitali ya Mtakuja vilevile ndipo shule kongwe ya msingi Mtakuja ilipo ninachomaanisha hapa sizungumzii kwamba iondolewe hapana ninachosema isafishwe hivi ukiugua kipindupindu utalamlaumu nani? Sasa angalia uchafu hapo chini katika hizo picha kuna usalama kweli?.
mtalo huu wamegeuza kuwa dampo

Hapa nyasi zimezuia maji yasipite

Je chupa hii inafanya nini hapa

Mtalo huu umegeuka kuwa shamba la nyasi

Bomba zikipasuka nikipindupindu mtindo mmoja
No comments:
Post a Comment