1 April 2009
MELI YA MSC FERICA YATITIA KWENYE MCHANGA FERI
Habari za leo tena wanablog natumai wazima leo nimewaletea bonge la ishu ulishawahi kuona meli inakosea njia na nakwenda kugonga. basi balaa hilo limetokea siku ya jumanne jioni ya tarehe 31 mwezi wa tatu katika eneo lakuingilia bandari ya salama meli hiyo iitwayo MSC Federica alimanusula igonge panton ambayo ilikuwa imebeba abiria lakini nahodha wa maeli hiyo amabaye hakuweza kufahamika kwa sababu iliyokuwa nje ya uwezo wetu aliamua kwenda kuichomeka kwenye eneo la upande wa kigamboni na kwasababu maji yalikuwa yamesha pungua wakati huo meli hiyo kubwa iliyo sheheni zaidi ya makotena mia sita ititia kwenye mchanga japokuwa baadhi ya boti zilijaribu kuivuta lakini ilionekana kama mchezo wa kuigiza kutokana na kuwa na uwezo mdogo wa kusukuma meli hiyo amabayo ingeweza kutoka kwenye hali hiyo kwa njia mbili tu kusubiri maji yajae au ipakuliwe makontena ndiyo itoke.
chini kulia ndio Meli ya MSC (ferica)ikiwa imtitia
kwa mchanga baada ya kupoteza mwerko hafla
jna jioni ikwa upnde wa kigamboni
Lakini linaweza kuwa jambo la kushangaza kwa wananchi kwani hakujawahi kutokea kitu kama hicho katika bandari hiyo ya salama lakini katika ulimwengu wa kawaida laweza kutokea japokuwa ni jambo la kushangaza kama zimeweza kugongana treni itakuwa kunasa boti japokuwa treni zile zilizo gongana kule Dodoma kuna jambo lazungumzwa kuwa huenda likawa limefanyika jambo la makusudi tuachane na hayo tuje kwenye meli yetu baadhi ya watu ambao walikuwa kwenye panton walisema kuwa waliona meli hiyo ikija kwa kasi zaidi walianza kuogopa kuwa wangeweza kugongwa lakini kutokana na uwezo mkubwa na ustadi wa nahohda wa panton hiyo aliweza kuwanusuru kwa kuongeza kasi panton hiyo la sivyo ingekuwa msiba wa aina yake .
Pembeni kama unavyoweza kuona ni panton ikifanya kazi zake leo kwa tahadhari kbuwa sehemu ya mlango wa get la kigamboni huwezi kuliona pichani baada kuzibwa na meli hiyo
Kwa upande mwingine meli hiyo imesababisha adha sio tu kwa raia bali hata shughuri nzima za bandari kwani ilibidi kusimamishwa kwa muda shughuri nzima hadi hapo meli itakapotolewa kwa upande mwingine serikali imesema haitahusika na gharama zaidi kwani meli hiyo imetumia moja ya muda ambao ilibidi iitumie ikiwa bandarini kwa kupakuwa mizigo yamkini meli ni kbwa kwelikweli na nilipta nafasi ya kutembelea maeneo ya feri hasa upande ule wenye kina kikubwa cha maji yamkini uwezi kudhani kama meli kubwa kama hizo unaziona pichani.
>a
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment