20 May 2009
CULTURE AMBASSADOR ASSOCIATION
Asai isiyokuwa ya kiserkali inatarajia kuandaa jukwa la vijana tar 21 mwezi wa tano mwaka 20009 ikwa ni katika maadhimo ya utamaduni jukwaa hili litawaleta pamoja vijana zaidi ya 150 akizungumzia kuhusu tamasha Mohamed Gharibu amesema vijna hao watakuwa sehemu mbalimbali ikiwemo shule za msingi ,sekondari,elimu ya juu na vikundi vya vijana mtaani.
Pia kutakuwa na wageni kama mabalozi na wawakilishi wengine kutoka idara na kampuni mbalimbali jukwa hii litafanyika katika ukumbi wa utamaduni wa Russia (RCC) na kauli mbiu itakuwa ni kupambana na mmonyoko wa maadili pia kutakuwa na maonyesho ya ngoma za asili na maonyesho mbalimbali ya kazi na sanaa na maonyesho ya mavazi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
mbona hamfanyi tena hili jukwaa
ReplyDelete