26 May 2009
HUYU NDIYE MWAMUZI WA FAINALI MAN U NA BARCA
Massimo Busacca ndiye aliye chaguliwa na kamati kuu ya marefaree kuchezesha mechi ya fainali ya klabu barani ulaya kati ya Barcelona na Manchester united mchezo utakao pigwa katika dimba la olimpico huko jijini Rome jumatano ya wiki hii
Busacca ambaye namiaka 40 na anatokea Monte Carasso kusini mwa italia na anaweza kuongea kitaliano na kiswizerland atakuwa akisaidiwa na raia mwenzake kutoka uswis Matthias Arnet na refaree mwingine wa pembeni atakuwa Fransco Buragina.na mwamuzi wa nne au kamisaa atakuwa raia mwingine wa uswis Claudio Circheta
Busaca amekuwa mwamuzi wa kimataifa tangu mwaka 1999 na amesha chezesha maechi 77 na amechezesha mechi 32 za klabu bingwa ulaya sita katika msimu huu moja kati ya mechi hizo ni mechi ya marudiona ya robo fainali kati ya Man utd na fc porto na vile vile alichezesha mechi ya marudiano kati ya Panathanaikos fc dhidi Villareal cf kule atherns vile vile alichzesha mechi ya fainali kati ya ya Uefa cup kati ya RCD Espanyol na Sevilla FC. Mechi iliyofanyika katika dimba la Glasgow kule Scotland.
National team
Busacca vilevile amewahi kuzesha mechi za kimataifa mechi hizo ni katika michuano ya mataifa ya ulaya katika ujerumani na uturuki vilevile kombe la dunia katika hatua ya kumi na sita bora kati ya Argentina na Mexico.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment