26 May 2009
Stadio Olimpico
Uwanja wa olimpico ndio utakaotumika katika fainali ya ligi ya mabingwa balani ulaya mwaka 2008/9 mchzo ambao utachezwa tar 27 may 2009(20.45).
Unauwezo wa kuchukua watu elfu sabini na mbili mia sita thamanini na tisa na umekuwa uwanja wa kuvutia zaidi ya mika 70vilevile uwanja huu umewahi kuwa mwenyeji wa mashindno ya Olympics na mashindano ya kimatifa ya riadha ya IAAF World championships vile na michuano ya mabara ya mwaka 1977na 1984 wakati juventus iliposhinda kombe la klabu bingwa barani katika uwanja huohuo wa olimpico.
Uwanja huu ulitengenezwa na kampuni ya sporst complex.na ulidisainiwa na mtaalamu mambo ya ufundi Enrico Del Debbio na ulifunguliwa mwaka 1938 uwanja huo ulipewa jina la Foro italico baada ya vita kuu ya pili ya dunia na uwanja huo ulifanyiwa marekebisho na kurejeshwa katika sura mpya mwaka 1953 na kuandaa michezo ya olimpic mwaka 1960.ambpo kabala ya hapo uwanja huo ulikwa ukiitwa the Foro Mussolini Fashisti la kitalino alikuwa akijurikana kama Benito musollini
Hicho ndicho kiwanja ambacho kitachimbika hapo jumatano.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment