Mwakilishi wa ITF wa afrika mashariki Prince Madema amsema I T F itaendelea kusaidia kukuza mchezo wa tennis afrika mashariki alizungumza leo wakati mafunzo ya makocha wa mchezo wa tennis yaliyokuwa Gymkhana Club na vilevile amesema kuwa anafurai kuona watu wakionyesha mwamko hasa kwa makocha ambao wajitokeza kuja kujifunza mchezo aliongeza kwa kusema kuwa mafunzo hayo yatasaidi kuongeza ranke ya Tanzania kutoka namba kumi na 13 na kusogea mbali zaidi.

huyu ndiye prince Madema akizunguma alipokuwa akihojiwa na waandishi wa katika viwanja vya Gymkhana

picha ya juu na ya chini baadhi ya makocha wakipta mafunzo

Vilevile mafunzo hayo yatasaidia kushawishi wazamini kuja kwa wingi kusaidia mchezo wa tennis kwa hata huo na unalipa sio kukazania mpira wa miguu peke yake.kwani kwa sasa Tanzania ambayo inaendelea vizuri kwa juhudi zinazoonyeshwa na chama cha tennis Tanzania TTA.
No comments:
Post a Comment