Umakini wawapo uwanja ndio msing mzuri wa ushindi kuhakikisha kuwa unamdhibiti hadui mambo haya yasinyike kwa sababu ya kumridhisha mwalimu bali kwa mafanikio yako binafsi wachezaji wa wengi wa afrika huwanya hivyo kulidhilisha makocha na tukiewekeza tunaweza kuafanikiwa
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0SzKgAyVu0I8kac56-xMT_a02bTd1dE-LwfBQU7k1Lwbo5KIAMM0Y9ZFu-pqAub3pUJK0H1urXDmRPok5cZFHOLtxv4DRZIw-6i5cFK7ZJ3eC4dViXKJIzfI7rPihgU8AnreOmu0a3Xc/s400/IMG_0038.jpg)
yatakiwa kuwa makini hasa pale mwalimu anapotoa maelekezo mchezaji kuanza kujishika magoti ni dalili za uvuvi uawnjani
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifQiEnbbBxcPZ-svfyEog-9ZRAvXpPI2NaIPp5bQQo06c8jdZCPeO7uzzqLUjxOL2aZREx9kA_T_iaRaUetZP6gApSf7cUV59WwY0nII2RLUbs0yLqj8f9oUX8kBCnACRhScdG8F7wS4U/s400/IMG_0033.jpg)
kipa bora zaidi awekuwa kuwa mahiri sana kwa kaudaka mipira lakini ukiachiria swala jambo kubwa zaidi anaweza kuwa mwalimu kwani yeye ndiye anaona mchezo zaidi kushinda mtu mwingine uwanja ni rahisi kulahisha makosa.
No comments:
Post a Comment