HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

26 June 2009

KASEJA ARUDI SIMBA

juma kaseja arudi simba akataa kutaja kiasi cha pesa alichosajiriwa mwenyewe asema ni hekima na busara za wa wazee wa simba na jamal malinzi asema ni wakati wa kusuka timu upya awataka washabiki kuungana kuwa kitu kimoja
Chini ni juma kaseja akionyesha jezi yake ambayo nyuma imeandikwa juma kaseja akiwa amerudi kwenye ya msimbazi
kaseja karejea simba lakini vilevile amekataa kutaja ada ya uamisho sasa timu zetu za simba na yanga tunazifahamu Kaseja kuwa mwangalifu kaka simba ni simba

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers