15 June 2009
KILIMO NDIYO UTI WA MGONGO WA MWAAFRIKA
Hakika kilimo ndiyo uti wa mgango wa mwafrika vilevile kuna miiko yake kwani utakapotembelea banda la wizara ya KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA utaweza kupata maelekezo ya mbalimbali ya yahusuyo kilimo na maelekezo kemkem ya utengenezaji shamba utengenezaji mbegu na mengineyo mengi yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja katika maonyesho ya sekta za utumishi wa umma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment