MISS HIGHERLEARNING INAKUJA
Murugenzi wa Manka Mushi Promotion akiongea nawanahabari kwenye mgahawa wa Hadees leo wakati akizungumzia shindano la kumsaka Miss Higherlearning 2009linataji kufanyika Julai 3 jijini Dar es alaam kwenye ukumbi wa Karimjee jumla ya warembo15 watapanda jukwaani kuwania taji hilo, kulia ni mjumbe wa kamati Zabron Mangare na kushoto ni mwanakamati mwingine Ally Chande .
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment