Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania jakaya mrisho kikwete akiongea na vionozi wa tume ya maadili hii leo asubuhi ikulu jijini dar es salaam mara baada ya kuwaapisha kuotoka kushoto ni jaji hamis amir msumi,gaudios tibakwetira mwenyekiti wa tume hiyo jaji damian lubavu picha na fredy maro
No comments:
Post a Comment