3 June 2009
(Xie Wenjun ni mchezaji wa kwanza kushoto)
Mashindano ya riadha ya Asia ya mwaka 2009 ya kituo cha tatu yalifunguliwa tarehe 30 mchana Mei huko Hongkong, ambapo kwenye fainali ya Mbio za za mita 110 kuruka viunzi kwa wanaume, Xie Wenjun alimshinda Shi Dongpeng na kupata ubingwa kwa kutumia muda wa sekunde 13.63, na huu vilevile ni ubingwa wa kwanza wa mashindano ya kimataifa kwa Xie Wenjun, na matokeo hayo yamevunja rekodi ya mashindano hayo iliyowekwa na mchezaji hodari wa China Liu Xiang mwaka 2003.
Xie Wenjun alipata matokeo mazuri kwa muda wa sekunde 13.47 kwenye mashindano ya riadha ya Shanghai ya mwaka jana, na ubingwa huo wa kwanza wa mashindano ya kimataifa hakika utamtia moyo sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment