HAPA NDIPO UGOMVI ULIPOANZA KATI YA ARGENTINA NA UINGEREZA
Diego Armando Maradona akimfunga peter shilton goli kwa mkono katika fainali za kombe la dunia zilizo fanyika nchini Mexico mwaka 1986 waingereza wanamlaani mpaka leo hii gwiji huyo wa Argentina kwa kuwafunga goli la mkono kiasi cha kumchukia kwani hawataki hata kumuona.
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment