HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

16 July 2009

JAMANI NJAA IPO ACHENI UTANII

Mkurugenzi mtendaji wa Asasi isiyokuwa ya kiesrikali Mh Thomas ngawaiya akionyesha moja ya gazeti lililolipoti kuhusu njaa inayonekana kuikumba hasa katika maeneo ya mkoani arusha na kilimanjaro.
Aidha kwa upande mwingine Mh Ngawaiya alisema anashangazwa na kauli za Mh Malmo Bungeni kwa kusema akuna njaaa wakati yapo maeneo ambayo amagazet takaribana matatu yameripoti kuwepo kwa njaa katika mikoa hiyo vilevile amaeishauiri serkali kuwa kuwakataza wananchi wanaouza mazao nchini jirani kwa kusema kuwa kama mkulima anauza mahindi kenya kwa bei ya 1000 sisi mahindi hayohayo tunamlazimsha atuuzie shilingi 800 huo kwamba yunamuumiza kwanini na sisi tusinunue mahindi k hayo bei ya shilingi 1000 ili auze hapa nchini
Lakini kitu cha ajabu mabacho nimeshangazwa kuona mkulima wa kawaida ambaye anamlima mzao yake kwa ajiri ya nyumbani kwake mnamtoza Kodi wakati yeye auzi .
kwa mfano mimi mwenyewe nimelima kwenye ekali 30 nimepta gunia 80 tena nimelima kwa hasara napakia kwenye gari napeleka kwangu kutoka tanga korogwe katika kata ya kabuku kijiji cha kwedukwaza eti trafic anasimamisha anataka nilipie ushuru sasa kisheria mwananchi wa kawaida akirima mahindi ya chakula binafsi nyumbani kwake alipi kodi kwa sababu auzi sasa mimi ni mtu maarufu nafanyiwa hivyo je wasiojurikana
lakini la msingi njaa hipo jamani sio utani.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers