HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

24 July 2009

KAMPUNI YA NDEGE YA ZARA AIR YAJA NA HABARI NJEMA

Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Zara Air akizungumzia ujio wa kampuni ya ndege itaanza shughuri zake hivi karibun katika ukumbi wa idara habari maelezo.
Kampuni ya Ndege ya Zara Air inawaletea habari njema watanzania kwani sasa wataweza kusafiri kwa bei poa kutoka sehemu mbalimbali nchini. kampuni hiyo ambayo itaanzan kutoa huduma zake aug 3 mwaka huu inatarajiwa kufanya safari zake katika mikoa ya mwanza kilimanjaro, moroni visiwa vya comoro, na Jburg afrika ya kusini akizungumzia malengo ya kampuni hiyo Mkurugenzi Misha M .Hango amesema kuwa itachochea utarii pia itatoa nafasi Emergency Endapo itatokea ikibidi hata kupunguza nauli vilevile amesema kuwa Lugha zitakazo tumika katika ndege zitakuwa kuwa ni kiswahili na kiingereza kawani ndio lugha ambazo zinaeleweka kwa abiria kutokana na mzunguko wa safari wanatakazo zifanya vilevile wanaamini kuwa bei zao zitamwezesha mtanzania wa kawaida kupanda ndege hasa kwa wagonjwa.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers