HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

7 July 2009

Rais wa Jamhuri ya muungano wa tanzania Jakaya Kikwete akisalimiana na moja ya wajasiliamali waliopo kwenye banda la shirika lisilokuwa la kiserikali linalotoa mikopo kwa wafayabiashara ndogondogo Pride Tanzania wakati alipotembelea katika banda hilo jioni hii katika maonyesho ya 33 ya biashara ya kimataifa yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kirwa jijini Dar es alaam, ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na wajasiliamali hao, wa pili kutoka kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na katikati ni Meneja mkuu wa Shirika la Pride Shimimana Ntuyabaliwe

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers