HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

10 July 2009

TUNAVAA SHINGONI KULE UMAKONDENI

Najua mtakuwa mmezoea mikufu ya dhahabu kutoka ulaya ambayo madni yanapatikana bongo lakini mkufu wetu madini tunatoa kwenye miti na tunafunga na kamba na ukivaa yanapendeza kweli afrika inawekana yaani nyumbani ni nyumbani tena hamna madhara yeyote yale sio hiyo mnayovaa mbaka mnawashwa na shingo

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers